- Thread starter
- #21
Yap! Hata hivyo kuna member wajasiriamali ambao wangefaa wasikosekani humu. Kama asigwa Mama timmy na wengine wengi tu![/MUNGU AWAONGOZE WAFANYE BIDII HIYO HIYO ILI MWAKANI WAPENDEKEZWE. MNGEWAI KUTOA MAJINA TUNGEWAPENDEKEZA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap! Hata hivyo kuna member wajasiriamali ambao wangefaa wasikosekani humu. Kama asigwa Mama timmy na wengine wengi tu![/MUNGU AWAONGOZE WAFANYE BIDII HIYO HIYO ILI MWAKANI WAPENDEKEZWE. MNGEWAI KUTOA MAJINA TUNGEWAPENDEKEZA.
ni mapendekezo ya watu. Siyo mimi mkuu.
kumbe kura zimeelezea uharisiaMalila is my no one, akifuatiwa na Kubota
dah! kumbe wengi mnamkubali malila eheee!
Tuko pamoja mama Joe. Mimi mwenyewe hali ikiendelea hivi mwaka huu nguruwe watanipaisha. Nimeona kuna utajiri mkubwa kwenye ufugaji. Lakini kubota amepotea kweli.Ni kweli Malila ndo mtu wa kwanza wa JF kukutana nae. Na ndie alinifundisha kuhusu kilimo. Kabla ya hapo nilikuwa nafuga kama zima moto nikiwa na shida tu. Kubota kwake nimejifunza kuku wa kienyeji na kufuga muda mrefu kiasi namshukuru Mungu kiasi fulani mwaka huu 20% ya mapato yangu imetokana na kilimo na ufugaji. Mwanzoni nikielezea kuku wa kisasa nilisema ...my only regret ni bado zaidi ya 90% ya mapato yangu ni kutoka mshahara. Nikichangia mada na kina Chasha na Eberhard nilisema plan yangu ni 2015 ninakuwa mjasiriamali halisi kwa 100%. Kwaiyo ninaona kama kuniweka hapa ni changamoto nikazane kuifikia plan hii. Naomba kuwashukuru wanajukwaa wote hasa waufugaji kuku ambao kwa pamoja nimejifunza mengi kwenu. Happy New Year.
Tuko pamoja mama Joe. Mimi mwenyewe hali ikiendelea hivi mwaka huu nguruwe watanipaisha. Nimeona kuna utajiri mkubwa kwenye ufugaji. Lakini kubota amepotea kweli.
mbuzi pia wanalipa sana. mimi nawafuga pia.Hongera sana mimi nitajaribu miti na mbuzi. Nimedhamiria huu mwaka kipato kilingane mshahara na ujasiriamali. Naamini nitawezeshwa tu. Kubota mikaa imemtoa ukulima kabisa huyu
mbuzi pia wanalipa sana. mimi nawafuga pia.
dah, nimechelewwa ila Malila popote ulipo nakukubali mwanzo mwisho.