Ninakulia timing na hao pacha wako ngoja utulie na mission za kulima nitakutafuta kakaangu.Je una mbegu ya pacha? Kuna mbegu ya mbuzi inayofyatua watoto wanne kwa mkupuo, iko Kigoma. Ukipata hiyo umeula. Kuna mahali Kilwa kisiwani kuna mbuzi alishusha watoto watano, niliwaona.
Ninao wachache, pale Mkuranga.