Je una mbegu ya pacha? Kuna mbegu ya mbuzi inayofyatua watoto wanne kwa mkupuo, iko Kigoma. Ukipata hiyo umeula. Kuna mahali Kilwa kisiwani kuna mbuzi alishusha watoto watano, niliwaona.
Nenda Mbagala Rangi tatu terminal, uliza magari yanayokwenda Shungubweni kupitia Mkuranga mjini na Msolwa. Ukipanda hilo daladala/Kipanya waambie unashuka Msolwa pale kwenye mabanda ya mbuzi kabla ya kuvuka daraja la mto Galawani. nauli ni tsh 3000/.

kumbe ni mkuranga, sijawahi kufika ila nilikuwa na plans za kutembelea huko siku moja maana tuna ofisi nyingine pande hizo. umenipa sababu nyingine na hamasa ya kufika. nikiwa tayari nitakujulisha.