Nani ni nani leo Mtani?

Yanga kauza mechi. Matokeo hayako upande wao. Maybe a draw?
NB MIMI SHABIKI WA YAMGA
 
Ukisoma comments za wachangiaji kwenye huu uzi, utagundua tatizo kubwa la mashabiki wa simba ni kuamini sana katika matokeo ya mfukoni, na pia kupenda kucheza zaidi mpira wa mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…