Nani ni rahisi kupata ajira kati ya wanafunzi kozi hizi mbili

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Naombeni kuuliza maana hapa kunawatu wanabishana mmja anasoma diploma in accountance chuo cha TIA Na mwingine DUCE bachelor of education in physics.

Ni nani anaweza kuajiliwa kwa haraka kuliko mwingine japopokwa kunachangamoto ya ajira. Nani anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha mshahara wakiajiriwa.

Tuna omba ufafanuzi na hapa tunausoma ili wapunguze kubishana.

Asanteni
 
Mwenye connection atapata ajira haraka
 
Wakiajiriwa wapi sasa? Private au TAMISEMI kwa mwenye kifua kipana?
 
Pote pote
Popote pale. Ni jibu la jumla. Sehemu pekee Ambayo unaweza tabir mshahara wa mtu ni government mana unaweza hata kuuliza ambapo mwenye degree hupata mshahara mkubwa kidogo kuliko diploma japo inategemea na fani.
Private wanaangalia vitu vingi sana uzoefu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…