popie
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 801
- 577
Dah nimecheka sana [emoji38][emoji38][emoji38]JPM Simba.
Samia Suluhu Simba.
Kassim Majaliwa Simba.
Kwa kifupi, serikali ni mwanachama halali wa Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimecheka sana [emoji38][emoji38][emoji38]JPM Simba.
Samia Suluhu Simba.
Kassim Majaliwa Simba.
Kwa kifupi, serikali ni mwanachama halali wa Simba.
AiseeeSimba: Magwaya, Jesse Lingard, Zouma, Balloteli, Joel Barton, Kigwangala, Morrison
Yanga: Brother K, kindoki, Mbowe, Kibatala, Zahera, Idd Amin, Lwandamina
Nadhani kila mmoja ameandika anaowajua [emoji276][emoji276][emoji276]
Simba: Magwaya, Jesse Lingard, Zouma, Balloteli, Joel Barton, Kigwangala, Morrison
Yanga: Brother K, kindoki, Mbowe, Kibatala, Zahera, Idd Amin, Lwandamina
Nadhani kila mmoja ameandika anaowajua [emoji276][emoji276][emoji276]
Mkude YangaJonas Mkude simba, Ajib Simba
Nimekua nae huyo namjua vizuri sana na pia mnazi mkubwa wa Arsenal. Kwa Yanga anajificha tu. Ila mwanajangwani kindakindaki h
Wengi wa kusini ni Yanga.Nimekua nae huyo namjua vizuri sana na pia mnazi mkubwa wa Arsenal. Kwa Yanga anajificha tu. Ila mwanajangwani kindakindaki huyo
Kweli kabisa,kusini mwa Tanzania kuna wanachama wengi wa Yanga,sijui kwanini?Wengi wa kusini ni Yanga.
Huwa hivyo tu hata siasa kuna stronghold za vyama.Kweli kabisa,kusini mwa Tanzania kuna wanachama wengi wa Yanga,sijui kwanini?