Wanajamvi wenzangu,
Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?😕
ha ha ha mpwa kwa sababu huyo rafiki yako ulikua humuiti kaka na huyo mkewe ulikua unamwita dada basi rafikio ni shemejio!! usisahau ka batan ketu kwa hii yusifuli post!!Wanajamvi wenzangu,
Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?😕
Kuna kiarifu kimejificha hapa!
Hapana....kiarifu kipo ....kasema rafiki na dada.............hapo naona amesahau kiima na amejaza vihisishi..............Kuna kiarifu kimejificha hapa!
No no hakuna kilichojificha.Hapana....kiarifu kipo ....kasema rafiki na dada.............hapo naona amesahau kiima na amejaza vihisishi..............
No no hakuna kilichojificha.
senks kwa ushauri wenu wanajamvi, nazani msela wangu nimwite shem na my wife wake abaki kuwa dada. duh hii kali.
Hapana....kiarifu kipo ....kasema rafiki na dada.............hapo naona amesahau kiima na amejaza vihisishi..............
Great Thinker ndo nawapendaga bana!Kuna kiarifu kimejificha hapa!
The dots cant be connected.......best yako wa siku nyingi, ana demu wewe humjui,Wanajamvi wenzangu,
Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?😕
...Yalee Yaleeee!!! mambo ya .comFafanua kwanza huyo rafiki aka dada mlishawahi ''kuvunja undugu'' japo mara moja?
aknani tena siku yangu immekaavizuri leo.............maana .........au kiambishi jina ndicho kinachokosekana hapo?
dah mkuu kuishi USA ndo kiswahili kimepotea kabsaa?Nawashukuluni sana na wageyi salam salam kwawana chama.
mimi nasikia sana wasela wengi kuishiwa kwenye mataa bila kosa lolote.
Vijana tujichunge tusije tukwa kama mke wa lutu. wasichana wengi wanavamia eti wapate haki yao. Na we msela wa bongo kama unapenda kuwa na rafiki au kuwa na girlfriend, angalia kwamanini usije ukafuata mkombo, wabinti wengi wanapenda wafulana ambao wanakipaji chakuwatosha kama walivyo, mimi apo wahali niliwai kuwa na girlfried, kweli mi nilimpenda kama alivyo, lakini yeye aliniovyesha upenda wamwili, na moyo wake ulikua unapenda vitu vyakung'ara. nami msela nikiua sina haka hera yakumuvalisha vizuri, tuliendelea.kupendana mieze kadhaa. siku moja tu kuaingia Dar. na kaona mwanamne ambae alikua ni taita, na mtima wake ukanasa kuhoyo mwanadume. na akapenda wawe marafiki wakaribu tu wamda mfipi tu. na akamuomba namba yake yasim. bila kuchelewa binti akamugawia tunda. na akanitema kitambo. aliona mimi sina pesa kama huyo mwanamme.
minapenda mnigeyi ushauri kotaka kwako msomaji. na kama unamaindi kunitumia ujumbe/ message, email wangu ndoi, pajero75@live.com na ninaisha USA, napenda minipe mawazo yakufajiri mtima wangu. asanteni mngu wabariki
Mmh! Kweli JF ni zaidi ya niijuavyo, kumejaa watu wa kila aina. Thanks to all, mawazo yenu ni mazuri pia.Great Thinker ndo nawapendaga bana!
yani walivyokutana wakachuniana kama hawajuani au?
kwa hiyo jamaa hajui kama demu wake alishawahi kumjua ze mshkaji?