Kaka Sam
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 540
- 78
Wanajamvi wenzangu,
Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?😕