Role model wangu ni Nelson Mandela amenifundisha somo Kubwa kwenye maisha ambalo ni msamaha kwa watesi wetu.
Wapili ni Patrice Lumumba ambaye harakati zake zilizimwa na CIA, ila alikuwa na solid ideas kuhusu Africans.
Tatu, lucky dube huyu ana messages nyingi nzuri kupitia nyimbo zake. Hasa Hii " Slave " kwa heavy drinkers ikiwamo mimi niliacha pombe nina mwaka wa tano kutokana na huu wimbo.
Wamwisho ni Abraham Lincoln, Huyu amenifundisha Somo Kuhusu kufail na kutokata tamaa, huyu alishindwa Mara Kadha Wa Kadha kwenye chaguzi Lakini hakukata tamaa mpaka Akawa Rais Marekani.
Sent using
Jamii Forums mobile app