Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

Ben Carson....ingawa nataka kuwa Mimi tu na si copy ya Fulani.
 
IMGM0706.jpg
yupi sasa kat ya hao mkuu?
 
Role model wangu ni Nelson Mandela amenifundisha somo Kubwa kwenye maisha ambalo ni msamaha kwa watesi wetu.

Wapili ni Patrice Lumumba ambaye harakati zake zilizimwa na CIA, ila alikuwa na solid ideas kuhusu Africans.

Tatu, lucky dube huyu ana messages nyingi nzuri kupitia nyimbo zake. Hasa Hii " Slave " kwa heavy drinkers ikiwamo mimi niliacha pombe nina mwaka wa tano kutokana na huu wimbo.

Wamwisho ni Abraham Lincoln, Huyu amenifundisha Somo Kuhusu kufail na kutokata tamaa, huyu alishindwa Mara Kadha Wa Kadha kwenye chaguzi Lakini hakukata tamaa mpaka Akawa Rais Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Umetaja Legends Wenyewe.

Dube Ni Exemplary In His Music That Carries Message.

Likewise Lincoln Ni Iconic Figure Via The "Art Of Persistence".

About Nelson Mandela He Was Too Transcendental Through His "Art Of Forgiving "

In Short Your List Is Excellently Chosen .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kuwa na role model ni shobo tu...... Tupunguze kubalance shobo [emoji125][emoji125][emoji125]
Sio Kweli Mkuu,
Ni Labda Hujaelewa Maana Ya Role Model
Kila Kitu Kinachokubadilisha Au Kukufumbua Macho Kimtazamo Ni Moja Ya Huyo Role Model,
Yaweza Kuwa Mzazi Wako, Dada, Kaka, Mjomba, Kiongozi Wa Dini, Siasa, etc

Wengi Ukisema Role Model, Akili Zinaamia Kwa Kina Hamisa Mobeto, Sijui Mondi. This Is Common Misconception.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom