Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

IMGM0706.jpg
Mkuu kuwa specific basi hiyo picha ina watu wengi nani kati yao Baba mwenye mji au huyo mchina?
 
Nawasalimu Wote!

Kuna Msemo " We are What
We are Because of Other people"

Ni Ukweli Kabisa Kwenye
Hekaheka Zetu Za Kila Siku
Tuna Fanya Mambo Mengi
Makubwa Kwa Kuiga Mfano
Toka Kwa Mtu Au Watu Fulani

Niwe Muwazi Kwa Hapa Bongo
Ninao Watu Wanaonifanya Niwe
Mtu Wa Tofauti Kwenye Nyanja
Mbalimbali Kwa Mfano Kwenye
Siasa Namkubali Sana Andrew
Chenge, Kwenye Sheria Lissu,
Kwenye Utajiri Nimrod Mkono.

1. Andrew Chenge - Amenifanya
Nidhamirie Kuwa Mwanasiasa
Wa Aina Yake. Sijui Nitampataje
Nionane Nae Uso kwa Uso.


2. Tundu Lissu - Amenifanya
Niipende Taaluma Ya Sheria
Ukiachalia Mbali Nilikuwa Mpenzi
Wa Sayansi Lakini Huyu Mtu
Amenifanya Nigundue Wito Wangu
Ni Kuwa Lawyer.

3. Nimrod Mkono -Mbali Na Utajiri
Wake Kutotangazwa Hovyo Naamini Hakuna Mtanzania Anaye
Mvaa Kifedha. Anyway, Nimevutiwa
Na Style Ya Utajiri Wake.

Ningependa Kujua Kutoka Kwenu
Watu Walio Saidia Kukubadilisha
Kimtazamo, Kifikra, Kitabia, Kimaendeleo nk....

Role Models wangu ni kama wafuatao
  1. Idi Amin Dada
  2. Adolf Hitler
  3. Charles Taylor
  4. Joseph Kony
  5. Osama Bin Laden
  6. Saddam Hussein
  7. Muamar Ghaddafi
 
Ruge Mutahaba .....mkurugenzi mtendaji wa vipindi vya clouds FM .......Fursa [emoji109]


Emanuel Masanja ....._ masanja mkandamizaji ......... Agriculture


Reginald Mengi ....... Eatv


Pastor Josephat Gwajima ......... Injili na Malizake
 
Keith ellison and jesse ventura my governor my heros
 
Back
Top Bottom