ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
mange kimambinajua kuna mpumbavu atakuja kumtaja MANGE KIMAMBI huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mange kimambinajua kuna mpumbavu atakuja kumtaja MANGE KIMAMBI huku
Role model wangu ni Floyd Mayweather , ukimuona Floyd jua umeniona mimi.Nawasalimu Wote!
Kuna Msemo " We are What
We are Because of Other people"
Ni Ukweli Kabisa Kwenye
Hekaheka Zetu Za Kila Siku
Tuna Fanya Mambo Mengi
Makubwa Kwa Kuiga Mfano
Toka Kwa Mtu Au Watu Fulani
Niwe Muwazi Kwa Hapa Bongo
Ninao Watu Wanaonifanya Niwe
Mtu Wa Tofauti Kwenye Nyanja
Mbalimbali Kwa Mfano Kwenye
Siasa Namkubali Sana Andrew
Chenge, Kwenye Sheria Lissu,
Kwenye Utajiri Nimrod Mkono.
1. Andrew Chenge - Amenifanya
Nidhamirie Kuwa Mwanasiasa
Wa Aina Yake. Sijui Nitampataje
Nionane Nae Uso kwa Uso.
2. Tundu Lissu - Amenifanya
Niipende Taaluma Ya Sheria
Ukiachalia Mbali Nilikuwa Mpenzi
Wa Sayansi Lakini Huyu Mtu
Amenifanya Nigundue Wito Wangu
Ni Kuwa Lawyer.
3. Nimrod Mkono -Mbali Na Utajiri
Wake Kutotangazwa Hovyo Naamini Hakuna Mtanzania Anaye
Mvaa Kifedha. Anyway, Nimevutiwa
Na Style Ya Utajiri Wake.
Ningependa Kujua Kutoka Kwenu
Watu Walio Saidia Kukubadilisha
Kimtazamo, Kifikra, Kitabia, Kimaendeleo nk....
Hapana sio wa mwishoHongera Mkuu!
Itakuwa Wewe Ni Wa Mwisho
Kuzaliwa.
Lakini huyu bwana amezungumzia "mtu" kwa maana ya binadamu.
Mi role model wangu ni "watu wasiojulikana"
Natamani siku moja nikutane nao wanipe mbinumbinu...
Kuna watu ningekuwa nshawahamishia ahera, sema nashindwa kwakuwa najulikana...
Sipendi kuona watu wenye mioyo ya kikatili na wenye roho mbaya zilizopitiliza wakiendelea kuwatesa watu wasio na hatia hapa duniani... kwa sababu tu ya chuki za kisiasa.
Hata nishambuliwe kwa risasi na wanaojiita "watu wasojulikana" damu yangu ni mwanaharakat mtupuuPongezi Mkuu!
Inaelekea Unapenda Uanaharakati.
Pia Ulielewa History Vizuri.