Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

Kim Jong-Un
Hana mda wa kuangalia football
Huo ndio uwanja wetu
8baaab03799a2ea383735d952f862df8.jpg
 
Mr president..
Anani inspire sana Mh.. yuko very strictly
Nampenda kwakweli
 
Ila Umedanganya Umma
Muombe Radhi Alisoma
Mpaka Chuo Na A-level
Alimaliza Mzumbe Sec.
Mkuu mimi nimemnukuu kutoka kwenye story yake ya "True memories of my life" alisema kasoma uuguzi

Kuna tamasha jingine la "street university" alisemaga ni darasa la saba mkuu
 
Ibrahim ayo balogun ( wiz kid )

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini nigeria, anayefahamika kwa jina la kisanii kama wiz kid au wiz kidayo, ni moja kati ya wasanii afrika ambao wananivutia sana katika mambo yake anayofanya kwanza,
* si msanii wa kujigamba.

* ni msanii mwenye nidhamu na heshima kwa rika lote.

* ni msanii mwenye kila aina ya sifa ya kuitwa msanii bora wa afrika.

* anajua kusaka pesa kupitia fani yake ya usanii.


Quavous Marshall huncho ( Quavo huncho )
Huyu ni moja kati ya vijana mahiri kuwahi kung'aa katika fani yake ya muziki aina ya hip hop nchini marekani, jitihada zake na maarifa ndicho kilicho nivutia kwake.

Henry Williams ( bill gates )
Billgates ni jina ambalo si halisi na wala si geni kwa mfanyabiashara nchini marekani, billgates naweza kusema ni moja kati ya wafanya biashara wenye kunivutia zaidi katika kazi zao bidii na maarifa.

Saeed saleem bakhresa ( Azam )

Moja kati ya wafanya biashara afrika ya mashariki na afrika kwa ujumla huyu mfanyabiashara amenivutia kwa bidhaa zake anazo fanya utayarishaji / packing process, nimevutiwa kwa baadhi ya bidhaa zake ni mbunifu wa aina yake.

Freeman Aikael mbowe

Mbowe ni moja kati ya wanasiasa kutoka Tanzania ambao wamenihamasisha na kunipa morali ya mimi kuipenda siasa na nimejiapiza moyoni lazima nifanye siasa kwa siku za usoni.
 
Back
Top Bottom