Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

Alikuwa mwingereza aliyezaliwa India mwaka 1945. Alisoma Philosophy chuoni Cambridge na kuwa mwanafunzi mzuri sana wa Plato. Baadaye alipata draft kwenda jeshini ambapo ndipo alipopata kumjua MUNGU akiwa huko kwenye jangwa za north Africa. Alitokea kuwa Mwalimu wa Biblia mzuri kupindukia. Alifundisha Biblia katika namna rahisi na ya kueleweka kwa mtu wa aina yoyote. Alifariki na kuzikwa huko Yerusalem Israel mwaka 2003.
Maelezo Murua Kabisa.

Nitamfuatilia Zaidi Huyu Jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Role Models wangu ni
1.John Paul II (Mungu Amrehemu)
2.Ignatius of Loyola (Mungu Amrehemu)
3.Ignatius of Antioch (Mungu Amrehemu)
4.Augustino of Hippo (Mungu Amrehemu)

5.Paul the Apostle (Mungu Amrehemu)
Vizuri Sana Mkuu, Japo Ingekuwa Vizuri Uweke Na Sababu Walau Moja Kila Huyo Role Model.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GARY KASPAROV
karsparov.jpeg

BOBBY FISCHER
images
images

JIM KWIK
images
 
Back
Top Bottom