Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bado Floyd atabaki kuwa role model wangu.Role model wangu ni Floyd Mayweather , ukimuona Floyd jua umeniona mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Floyd atabaki kuwa role model wangu.Role model wangu ni Floyd Mayweather , ukimuona Floyd jua umeniona mimi.
Role wa nyakati zote si mwingine bali ni Dr. JMK.
Bado Floyd atabaki kuwa role model wangu.
Nani huyo?Kuna mshamba mmoja anataka kupigana nae
James Mwangi - unaweza kutufahamisha ni nani?1. Mama
2. Bibi Zangu ( Bibi Mzaa Mama + Mzaa Bibi )
3. Robert F. Smith
4. James Mwangi
5. Mwalimu J. K. Nyerere
6. Jack Ma
Yupo hospital kwasasa na ni mgombea wa bila kupingwa - Kilosa kwa tiketi ya CCMMimi huyu prof kwa uwongo hakuna mfano wkeView attachment 1281031
Mkenya fulani ameitoa Equity Bank kutoka chini kabisa mpaka hapo ilipo sasa
Otto Von Bismarck1. Mama
2. Bibi Zangu ( Bibi Mzaa Mama + Mzaa Bibi )
3. Robert F. Smith
4. James Mwangi
5. Mwalimu J. K. Nyerere
6. Jack Ma