Nani Role model Wako?

Nani Role model Wako?

Mom (raising the family).
Dad (kujali ndugu zake).
Julius Kambarage Nyerere (Leadership).
Hawa ni miongoni mwao (wapo wengi kulingana na muktadha wa jambo fulani.
 
Dk shika kwa uwongo maana na huku kitaa niko hivo..
Ashasahaulika Huyu Mutu Daaaah Ile Issue Ya Lugumi Ilimpa Umaarufu Kweli,
Nilishangaa Kumuona Kwenye Dala Dala, Mawasiliano Akiwa Na Bahasha Ya Khaki Sijui Ndio Kutafuta Kibarua Au La.
 
Dr. Shika
Kwa kweli huyu ndo role model wangu

Alinipa ujasiri mno wa kua confidence ni kila kitu hata km mifuko ya suruali imetoboka
Ha Ha Ha.

Yupo Humu Anapita Kimya Kimya.
 
Hivi mtu anaweza kuwa na role model wa jinsia tofauti!?
 
Japo Karl Marx alikufa masikini lakini aliacha fundisho hasa wanaoabudu vitu visivyoonekana. Kwa kuwa maisha yanamshinda mtu anaamua kuokoka ili aone ufalme wa Mungu. Huo ni uungwana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom