Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

Nani Alikuwa Spika Bora kati ya hawa ,


  • Total voters
    21

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM.

Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi, kuanzia mfuko wa vyama vingi 1995, maspika hao ni Msekwa, Sita, Anna, Ndugai na Tulia.
 
SAMUELI SITTA akifuatiwa na ANNE Makinda, wa mwisho kabisa ambaye hana A wala B ni Toto Tundu Tulia
 
Back
Top Bottom