Katitu ndo kitu gani mkuu, tafadhali nijibu tu usidharau swali languSio vizuri kudhihaki.. Mwanamke akikuvulia chupi hata kwa malipo kakuheshimu
unaona sasa, nimeomba kabisa usipuuze swali langu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sanaMagomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengiStrees za nini ww mchawi wa jf..?
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoaIwe stress free wakati vyuma vimekaza hadi hamsini inaitwa shilingi hamsini..?ππππ[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Weee mshana kunyoa nini tenaaa..?
nami nasubiri teacherunaona sasa, nimeomba kabisa usipuuze swali langu
niambie bhana
Kesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sanaMagomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengiStrees za nini ww mchawi wa jf..?
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoaIwe stress free wakati vyuma vimekaza hadi hamsini inaitwa shilingi hamsini..?ππππ[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Weee mshana kunyoa nini tenaaa..?
asante nakuaminiSijapuuza.. Sijakupuuza sio hulka yangu....
hahahahahahah na tusubiri tu hakuna ujanja hapanami nasubiri teacher
Ndo maana unabarikiwa pamoja na kupaa usiku asante sanaSio vizuri kudhihaki.. Mwanamke akikuvulia chupi hata kwa malipo kakuheshimu