Nani tukacheze katitu?

Nani tukacheze katitu?

na wewe kwa kubadili id hujambo,
u hali gani lakini? mbona wamtusi mkuu amekufanyeje tena?
 
Haujui katitu?

Ni muziki wa wakenya kwa jamii ya wakamba.

Utakutana na watu kama musyoki...

Karishi..

Huu muziki kwa Tz unapigwa saana Arusha ila kwa miaka hii naona wamepunguza.

ohoooo ok asante sana shem, ndo maana nakuhamu sana ujue ukiwa uko bze kule mahali
 
Kesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sana.. Magomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengi
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoa........!!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ngja wenyewe waje wajuz wa mambo
 
Ile hela nishaipata ujue nasubiri ruhusa yako tu....
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakika
naamina namba unayo, lazima iandike kabisa jje's
kama sio reject hiyo itakuwa sio halali
 
ohoooo ok asante sana shem, ndo maana nakuhamu sana ujue ukiwa uko bze kule mahali
Teh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.

Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..

Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
 
Lah! baada ya kutoswa na nazja.. umeamua kuja kivingine! sasa unatumia njia ya kisasa baada ya tunguli kufika tamati.. utasema nakusimanga!

ngoja niwashauli watakaokuja huko jehanam!
usiende peku ukimwi na malaria vinauwa hakikisheni mmevaa neti mbu ni hatari kwa afya zenu bila kusahau ile mifuko iliyondani ya mifuko!,hlf semeni no tu mabusu homa ya ini inauwa😀
KATITU NJEMA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo maana unabarikiwa pamoja na kupaa usiku asante sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji779] [emoji781]
 
Kesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sana.. Magomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengi
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoa........!!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
mpaka mshahara utoke
 
Kwahiyo hii Laki moja na elfu arobaini ya mahali niitume kwenye namba yako au posta ya baba mkwe..?
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakika
naamina namba unayo, lazima iandike kabisa jje's
kama sio reject hiyo itakuwa sio halali
 
Back
Top Bottom