Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui katitu?Katitu ndo kitu gani mkuu, tafadhali nijibu tu usidharau swali langu
hapo giza tupu
na wewe kwa kubadili id hujambo,
u hali gani lakini? mbona wamtusi mkuu amekufanyeje tena?
naanzaje kutekwa mkubwa hivi sasa?Sijambo mpenzii..
Sijamtukana kabisa na siwez mtukana..
Nani alikuteka..?
Haujui katitu?
Ni muziki wa wakenya kwa jamii ya wakamba.
Utakutana na watu kama musyoki...
Karishi..
Huu muziki kwa Tz unapigwa saana Arusha ila kwa miaka hii naona wamepunguza.
Ngja wenyewe waje wajuz wa mamboKesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sana.. Magomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengi
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoa........!!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hata anaemvua chupi atakua kahaba kwa maana hiyo. Kuna wanaume washamba sana wanaona kukutanisha vikojoleo ni jambo kuuuuubwa wakati ni starehe tu hiyo.Sio vizuri kudhihaki.. Mwanamke akikuvulia chupi hata kwa malipo kakuheshimu
naanzaje kutekwa mkubwa hivi sasa?
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakikaIle hela nishaipata ujue nasubiri ruhusa yako tu....
Tehohoooo ok asante sana shem, ndo maana nakuhamu sana ujue ukiwa uko bze kule mahali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lah! baada ya kutoswa na nazja.. umeamua kuja kivingine! sasa unatumia njia ya kisasa baada ya tunguli kufika tamati.. utasema nakusimanga!
ngoja niwashauli watakaokuja huko jehanam!
usiende peku ukimwi na malaria vinauwa hakikisheni mmevaa neti mbu ni hatari kwa afya zenu bila kusahau ile mifuko iliyondani ya mifuko!,hlf semeni no tu mabusu homa ya ini inauwa😀
KATITU NJEMA
[emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji779] [emoji781]
Hahahahaha hapo pembeni kuna chimbo jipyaHahahaaa kule chabo nyingi bakule poa
mpaka mshahara utokeKesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sana.. Magomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na kuokoa kuvunjika kwa mahusiano mengi
Kesho iwe ni siku ya stress free... Jiachie walau kidogo.. Ukumbukie enzi za usingo.... Tukacheze KATITU... kama hauko tayari usije ila kama uko tayari nyoa........!!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
hahahahahahah nitumie kwanza niwe na uhakika
naamina namba unayo, lazima iandike kabisa jje's
kama sio reject hiyo itakuwa sio halali
Leo umevaa?!Hata anaemvua chupi atakua kahaba kwa maana hiyo. Kuna wanaume washamba sana wanaona kukutanisha vikojoleo ni jambo kuuuuubwa wakati ni starehe tu hiyo.