jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahahahhahaha shem mimi sijacheza bhana hizo kule matejoo kazi yetu kubwa ni kuhakikisha malapa yetu yako masafi na salama. kuna wakati tulikuwa tunayafunga na kufuli kabisa yasiibiweTeh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.
Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..
Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
teh teh