Nani tukacheze katitu?

Nani tukacheze katitu?

Teh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.

Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..

Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
hahahahahhahaha shem mimi sijacheza bhana hizo kule matejoo kazi yetu kubwa ni kuhakikisha malapa yetu yako masafi na salama. kuna wakati tulikuwa tunayafunga na kufuli kabisa yasiibiwe

teh teh
 
Teh
Shem najua umecheza saana katitu matejo.

Kuna wimbo wao mmoja wanasema n'goa n'goa kwamba wanaume tumekuwa wakatili kwenu hivyo wanawake mkituona popote mtun'goe nanii..

Cc pingli-nywee atuwekee jina la hiyo track nafikiri ni ya newton karishi
Hehehe 😀😀😀 Samahani jombaa ila wimbo huo siufahamu. Eti ng'oa nini? 😀😀 Nyimbo za Katitu zilikuwa zinasikizwa enzi zilee, siku hizi Karish ni mwakilishi wa bunge la kaunti ya Embu, maeneo ya Ml. Kenya. Anaimba katitu za kisiasa. 🙂 Ila kuna wimbo wake wa zamani huwa haunitoki akilini. 'Lovesong' alomuimbia mpenziwe akimueleza alivo useless na baseless na eti hakuwa hata na 'madiabaa' kabla ya Karish kumuoa. Chorus ndo matata, na ile lahaja yake ya kimbeere....karishi mwanamuembu sitafongeti yuwa mbiheviyaaaa. 🙂
 
Daah watu wanatoka mbali aseeh..
Hahaha wewe ni useless wewe ni baseless hahah naukumbuka unaitwa Tabu ni mbaya.
Kumbe Karish kawa MP! Nice to him.

Nazikumbuka saana track zake za kipindi hicho
Safari ya meru.
Tabu ni mbaya.. hahaha jamani tabu ni mbaya tabu ni mbayax2.

Wanjiro n.k .

Asante kwa taarifa pingli.[emoji106]
 
Aaaah kakitu, enzi hizooo hakuna hata bongofleva,
[emoji605]
 
Hehehe 😀😀😀 Samahani jombaa ila wimbo huo siufahamu. Eti ng'oa nini? 😀😀 Nyimbo za Katitu zilikuwa zinasikizwa enzi zilee, siku hizi Karish ni mwakilishi wa bunge la kaunti ya Embu, maeneo ya Ml. Kenya. Anaimba katitu za kisiasa. 🙂 Ila kuna wimbo wake wa zamani huwa haunitoki akilini. 'Lovesong' alomuimbia mpenziwe akimueleza alivo useless na baseless na eti hakuwa hata na 'madiabaa' kabla ya Karish kumuoa. Chorus ndo matata, na ile lahaja yake ya kimbeere....karishi mwanamuembu sitafongeti yuwa mbiheviyaaaa. 🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana hizi katitu kuna baadhi ya nyimbo ni nzuri.

Kwa kipindi hicho unaziimba huku unajichezesha kama unagonga gonga sole ya moka kwa mbalii...[emoji23] [emoji23]
 
Daby katitu bora ni ile ya nuke bumping in the darkness [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom