Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Simba ni SIKIO la kufa.
Nilimtumia Email KAJULA.
Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa.
Nikaambatanisha na mifano.
1. Dejan.
2. Santos.
3. Wilker Da silver.
4. Falager.
Lakini wapi.
LEO AIBU IMEWAPATA.
Wewe jamaa unaota au ulikuwa upo kijijini? Bangala kaishasajiliwa Azam fc.Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa. Anaweza kuja Simba hata kwa mkopo, sisi na Azam ni dugu moyaWewe jamaa unaota au ulikuwa upo kijijini? Bangala kaishasajiliwa Azam fc.
Kwa hiyo si kasaini miaka miwili auilikuwa geresha.......Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.
Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.
My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.
Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.
View attachment 2703044
Haya Bangala kaishaachwa na Yanga, vipi mnamtangaza lini Bangala? Yanga walishaonesha hawahitaji huduma ya Bangala na Djuma Shabani kwanzia kwenye wiki ya mwananchi vipi kwanini huyo Bangala mpaka sasa hamjamtangaza?Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Kaa karibu na redio yako ndugu mwanakijiji. Halafu usipindishe historia, Bangala ndiyo alikuwa wa kwanza kusema hategemei tena kutoa huduma yake akiwa Yanga kabla hata ya tamashaHaya Bangala kaishaachwa na Yanga, vipi mnamtangaza lini Bangala? Yanga walishaonesha hawahitaji huduma ya Bangala na Djuma Shabani kwanzia kwenye wiki ya mwananchi vipi kwanini huyo Bangala mpaka sasa hamjamtangaza?
Azam wamuache kwasababu ya lipi? Yaani una hoja ya kutaka huruma na upindashaji wa taratibu na sheria. Wala hauna la maana unachosema, mchezaji kasaini mkataba na Azam halafu wamuachie tu aje kwenu kisa lipi? Hawana uhitaji nae? Au wana huruma sana na nyie?Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa
Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria na taratibu gani zinakuwa zimekiukwa?Azam wamuache kwasababu ya lipi? Yaani una hoja ya kutaka huruma na upindashaji wa taratibu na sheria. Wala hauna la maana unachosema, mchezaji kasaini mkataba na Azam halafu wamuachie tu aje kwenu kisa lipi? Hawana uhitaji nae? Au wana huruma sana na nyie?
Bado nasubiria uniambie ni kwa namna gani Simba inatumia huu mwanya wa Bangala kuachana na Yanga ili kumsainisha mkataba kama ulivyosema kuwa linawezekanaKaa karibu na redio yako ndugu mwanakijiji. Halafu usipindishe historia, Bangala ndiyo alikuwa wa kwanza kusema hategemei tena kutoa huduma yake akiwa Yanga kabla hata ya tamasha
Kwani dirisha la usajili linafungwa lini?Bado nasubiria uniambie ni kwa namna gani Simba inatumia huu mwanya wa Bangala kuachana na Yanga ili kumsainisha mkataba kama ulivyosema kuwa linawezekana
Nimeuliza maswali, kama mtu kuuliza maswali anaambiwa kapaniki basi pengine haupendi kuulizwa maswali au pengine maswali yamezidi uwezo wako wa kufikiria.Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria gani na taratibu zinakuwa zimekiukwa?
Ni kama umepaniki hivi kusoma nilichoandika, unaombea kisitokee 😀 😀 😀
Usiku wa leo, saa sita usikuKwani dirisha la usajili linafungwa lini?
Ni wazi umepanick. Umeuliza maswali ambayo kwa mtu wa mpira hauwezi kuuliza na najua majibu unayo. Kutokana na maswali yako, nami nimekuuliza kwani kuondoka kwa Mayele ni kwa sababu Yanga haimuhitaji? Nimekuuliza pia sheria zipi zitakiukwa endapo leo hii Azam akimuachia Bangala kwenda Simba kwa mauziano au kwa mkopo?Nimeuliza maswali, kama mtu kuuliza maswali anaambiwa kapaniki basi pengine haupendi kuulizwa maswali au pengine maswali yamezidi uwezo wako wa kufikiria.
Basi, kaa kwa kutulia tusubiri tuoneUsiku wa leo, saa sita usiku
WadanganyeKuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Sawaa ila maneno hayo niliyoyasema nimeyaweka hapo unaweza kwenda kwenye uzi husika ukahakikishaWadanganye
Dah watu washepiga maokoto
Mayele kaondoka Yanga kwasababu yeye mwenyewe kataka kuondoka kutafuta changamoto nyingine.Ni wazi umepanick. Umeuliza maswali ambayo kwa mtu wa mpira hauwezi kuuliza na najua majibu unayo. Kutokana na maswali yako, nami nimekuuliza kwani Mayele akuondoka kwake ni kwa sababu Yanga haimuhitaji? Nimekuuliza pia sheria zipi zitakiukwa leo hii Azam akimuachia Bangala kwenda Simba kwa mauziano au kwa mkopo?
Umemsahau pia na Scars. Naye alikaza sana fuvu kumtetea huyo golikipa wakati tulipoonesha wasiwasi wetu, mara tu aliposajiliwa.Alaumiwe OKW BOBAN SUNZU maana alimsifia sanaaa