Nani wa kulaumiwa katika usajili huu wa kipa Robertinho au head of scouting aliyeajiliwa na Simba sc kwa lengo la kuleta wachezaji Bora??

Simba ni SIKIO la kufa.

Nilimtumia Email KAJULA.

Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa.
Nikaambatanisha na mifano.

1. Dejan.
2. Santos.
3. Wilker Da silver.
4. Falager.

Lakini wapi.
LEO AIBU IMEWAPATA.

Duhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Wewe jamaa unaota au ulikuwa upo kijijini? Bangala kaishasajiliwa Azam fc.
 
Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa. Anaweza kuja Simba hata kwa mkopo, sisi na Azam ni dugu moya
 
Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.

Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.

My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.

Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.

View attachment 2703044
Kwa hiyo si kasaini miaka miwili auilikuwa geresha.......
 
Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Haya Bangala kaishaachwa na Yanga, vipi mnamtangaza lini Bangala? Yanga walishaonesha hawahitaji huduma ya Bangala na Djuma Shabani kwanzia kwenye wiki ya mwananchi vipi kwanini huyo Bangala mpaka sasa hamjamtangaza?
 
Kaa karibu na redio yako ndugu mwanakijiji. Halafu usipindishe historia, Bangala ndiyo alikuwa wa kwanza kusema hategemei tena kutoa huduma yake akiwa Yanga kabla hata ya tamasha
 
Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa
Azam wamuache kwasababu ya lipi? Yaani una hoja ya kutaka huruma na upindashaji wa taratibu na sheria. Wala hauna la maana unachosema, mchezaji kasaini mkataba na Azam halafu wamuachie tu aje kwenu kisa lipi? Hawana uhitaji nae? Au wana huruma sana na nyie?
 
Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria na taratibu gani zinakuwa zimekiukwa?

Ni kama umepaniki hivi kusoma nilichoandika, unaombea kisitokee 😀 😀 😀
 
Kaa karibu na redio yako ndugu mwanakijiji. Halafu usipindishe historia, Bangala ndiyo alikuwa wa kwanza kusema hategemei tena kutoa huduma yake akiwa Yanga kabla hata ya tamasha
Bado nasubiria uniambie ni kwa namna gani Simba inatumia huu mwanya wa Bangala kuachana na Yanga ili kumsainisha mkataba kama ulivyosema kuwa linawezekana
 
Kwani dirisha la usajili linafungwa lini?
 
Tusiongee sana, siku hizi sibishani na watu. Natoa kauli halafu nakaa pembeni. Dirisha la usajili halijafungwa na nyie Yanga siku hizi mmekuwa na kauli ya mpira ni biashara, sasa kinachoshindikana ni nini. Kwani Yanga haikuwa inamuhitaji Mayele? Na timu ikimsajili mchezaji na hapo hapo ikamuuza au kumtoa kwa mkopo na mchezaji akaridhia, ni sheria gani na taratibu zinakuwa zimekiukwa?

Ni kama umepaniki hivi kusoma nilichoandika, unaombea kisitokee 😀 😀 😀
Nimeuliza maswali, kama mtu kuuliza maswali anaambiwa kapaniki basi pengine haupendi kuulizwa maswali au pengine maswali yamezidi uwezo wako wa kufikiria.
 
Ni wazi umepanick. Umeuliza maswali ambayo kwa mtu wa mpira hauwezi kuuliza na najua majibu unayo. Kutokana na maswali yako, nami nimekuuliza kwani kuondoka kwa Mayele ni kwa sababu Yanga haimuhitaji? Nimekuuliza pia sheria zipi zitakiukwa endapo leo hii Azam akimuachia Bangala kwenda Simba kwa mauziano au kwa mkopo?
 
Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Wadanganye
 
Ni wazi umepanick. Umeuliza maswali ambayo kwa mtu wa mpira hauwezi kuuliza na najua majibu unayo. Kutokana na maswali yako, nami nimekuuliza kwani Mayele akuondoka kwake ni kwa sababu Yanga haimuhitaji? Nimekuuliza pia sheria zipi zitakiukwa leo hii Azam akimuachia Bangala kwenda Simba kwa mauziano au kwa mkopo?
Mayele kaondoka Yanga kwasababu yeye mwenyewe kataka kuondoka kutafuta changamoto nyingine.

Mchezaji anayepelekwa kwa mkopo ni yule ambaye hawezi kusaidia timu kutokana na kiwango chake ( hana msaada au pengine hamna umuhimu wake)
 
Back
Top Bottom