Nani wa kulaumiwa katika usajili huu wa kipa Robertinho au head of scouting aliyeajiliwa na Simba sc kwa lengo la kuleta wachezaji Bora??

Hayo mawazo ndio ya mwanasimba mwenzako SAYVILLE anakwambia kuwa uongozi wa Simba umefanya makusudi ili kuitega Yanga ili mwisho wa siku Simba impate Bangala
 
asa scout ifanywe na shabiki!!
we umeona wapi!!
 
Kwa hiyo unaona ilikuwa ni sahihi kabisa kwa viongozi wako kumsajili mchezaji kutoka nje ya nchi, huku akiwa ametokea kwenye ligi daraja la 4! Yaani kinyume kabisa na kanuni za TFF!!
 
Kuna mchezaji gani wa kimataifa anayelipwa milioni 4?
Umepoteza hoja ila hautaki tu kukubali. Hoja yako haina mashiko maana kamwe wachezaji hawalipwi mishahara inayofanana. Mshahara anaolipwa Aziz Ki siyo sawa na anaolipwa Moloko. Kusema mmeogopa kumlipa milioni 40 (utadhani uwezo huo mnao) kisa hamtaki wachezaji watofautiane sana mishahara ni hoja mfu.

Nimekuuliza Mayele alikuwa analipwa kiasi gani?
 
Scouting ya Makolo imefeli
 
Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa. Anaweza kuja Simba hata kwa mkopo, sisi na Azam ni dugu moya
Alafu nyie kwenu kipa atadaka nani...??
Muda mwingine mtumie tu hizo Akili Mungu amewapa, msiwe washabiki wajinga wajinga tu.
 
Kwa hiyo unaona ilikuwa ni sahihi kabisa kwa viongozi wako kumsajili mchezaji kutoka nje ya nchi, huku akiwa ametokea kwenye ligi daraja la 4! Yaani kinyume kabisa na kanuni za TFF!!
Usiseme tu nje ya nchi ukaishia hapo.

Hata Malawi ni nje ya nchi.

Sasa rank ya Brazil kwenye ubora wa soka utaweza compare na nchi gani hapa Afrika?

Kama huwezi maana yake ili upate ratio unatakiwa ushuke level za chini za ligi zinazochezwa huko Brazil ili upate uwiano na ligi kuu yetu.

Ni sawa na mchezaji ambaye anweza kuachwa na Simba na Yanga, hauwezi ukamdharau kuwa kwakua timu hizo zimemuona hawezi kuzisaidia basi maana yake hawezi kufanya kitu chochote kwenye championship.
 
Hayo mawazo ndio ya mwanasimba mwenzako SAYVILLE anakwambia kuwa uongozi wa Simba umefanya makusudi ili kuitega Yanga ili mwisho wa siku Simba impate Bangala
Okay tufanye ni sawa walitutega na Bangala atachukua nafasi ya huyo kipa. Wao watuambie kwao atadaka nani..? Au watabaki na kipa mmoja..??😂
Unajua kweli ujinga ni kipaji, hasahasa kwa wa-Tanzania.
 
Huyu kipa hajakidhi vigezo vya kucheza ligi kuu, hilo la majeraha ni namna tu ya kufunika funika.
ULIOANDIKA NDIYO
UKWELI WOTE MKUU.
Hayo mengine ya injury ni uongo mkuu, nakumbuka mwanasheria wa Yanga SC alisema hili mapema sana, kuna watu wasiojua ball wakaanza kufungua vinywa vyao.
 
Unatakiwa upunguze ubishi. Kanuni za TFF haziongelei masuala ya comparison.

Na unatakiwa pia kukubali viongozi wako pamoja na kocha, wamepuyanga kumleta mchezaji wa ligi daraja la 4 kinyume kabisa na kanuni za shirikisho la soka nchini.
 
Okay tufanye ni sawa walitutega na Bangala atachukua nafasi ya huyo kipa. Wao watuambie kwao atadaka nani..? Au watabaki na kipa mmoja..??[emoji23]
Unajua kweli ujinga ni kipaji, hasahasa kwa wa-Tanzania.
Aliwahi kuleta uzi humu eti Bocco awe kipa ndio nikagundua jinsi alivyo kiazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Unatakiwa upunguze ubishi. Kanuni za TFF haziongelei masuala ya comparison.

Na unatakiwa pia kukubali viongozi wako pamoja na kocha, wamepuyanga kumleta mchezaji wa ligi daraja la 4 kinyume kabisa na kanuni za shirikisho la soka nchini.
Kanuni za TFF zinahusika vipi kwenye hili?
 
Sijui huwa mnaona sifa kubishana kwenye vitu ambavyo viko wazi, maana vitu vingine ukibisha unaonekana mpumbavu tu. Ushabiki sio kubisha kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…