changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kuna mchezaji gani wa kimataifa anayelipwa milioni 4?Kwani hapo kabla alikuwa analipwa kiasi gani? Kwani hakuna wachezaji wanaolipwa milioni 4 pale Yanga sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mchezaji gani wa kimataifa anayelipwa milioni 4?Kwani hapo kabla alikuwa analipwa kiasi gani? Kwani hakuna wachezaji wanaolipwa milioni 4 pale Yanga sasa hivi?
Hayo mawazo ndio ya mwanasimba mwenzako SAYVILLE anakwambia kuwa uongozi wa Simba umefanya makusudi ili kuitega Yanga ili mwisho wa siku Simba impate BangalaNdio naamini.
Kwani wao kabla hawajamsajili hawakuweza kuona huo ubovu wa performance yake kwenye goal keeping?
Kwamba we unaamini walimsajili ili waje kumfukuza?
Dirisha linafungwa kesho so ndio kusema management ilisubiri siku zote hizo zipite ili leo waje kumtema tena wakiwa hawana backup?
Kwa hiyo unaona ilikuwa ni sahihi kabisa kwa viongozi wako kumsajili mchezaji kutoka nje ya nchi, huku akiwa ametokea kwenye ligi daraja la 4! Yaani kinyume kabisa na kanuni za TFF!!Ndio naamini.
Kwani wao kabla hawajamsajili hawakuweza kuona huo ubovu wa performance yake kwenye goal keeping?
Kwamba we unaamini walimsajili ili waje kumfukuza?
Dirisha linafungwa kesho so ndio kusema management ilisubiri siku zote hizo zipite ili leo waje kumtema tena wakiwa hawana backup?
Umepoteza hoja ila hautaki tu kukubali. Hoja yako haina mashiko maana kamwe wachezaji hawalipwi mishahara inayofanana. Mshahara anaolipwa Aziz Ki siyo sawa na anaolipwa Moloko. Kusema mmeogopa kumlipa milioni 40 (utadhani uwezo huo mnao) kisa hamtaki wachezaji watofautiane sana mishahara ni hoja mfu.Kuna mchezaji gani wa kimataifa anayelipwa milioni 4?
Scouting ya Makolo imefeliBaada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.
Klabu ya Simba imeanza kutafuta golikipa mwingine ikiwa imesalia siku moja kabla ya dirisha la (CAF) halijafungwa.
My take hii inafikirisha sana Tena sana nafasi ya kipa ni nafasi nyeti Kama huna kipa Bora Basi timu yako itasuasua tu hata ukiwa una mabeki wa namna gani.
Kwa huu usajili wa kipa ndani ya Simba sc Kuna uhuni ndani yake na kundi la watu wachache limepiga hela limeleta kanyaboya.
View attachment 2703044
Alafu nyie kwenu kipa atadaka nani...??Najua hilo, maneno hayo niliyasema toka tarehe 24 kabla Yanga hawajamuachia. Bado Azam wanaweza kumuachia, dirisha la usajili halijafungwa. Anaweza kuja Simba hata kwa mkopo, sisi na Azam ni dugu moya
Usiseme tu nje ya nchi ukaishia hapo.Kwa hiyo unaona ilikuwa ni sahihi kabisa kwa viongozi wako kumsajili mchezaji kutoka nje ya nchi, huku akiwa ametokea kwenye ligi daraja la 4! Yaani kinyume kabisa na kanuni za TFF!!
Tusubiri tuone!Alafu nyie kwenu kipa atadaka nani...??
Muda mwingine mtumie tu hizo Akili Mungu amewapa, msiwe washabiki wajinga wajinga tu.
Baada ya kufanyiwa vipimo vya afya imebainika kuwa, golikipa wa klabu ya Simba SC, Jefferson [emoji1054] ana injury itakayomuweka nje ya pitch kwa muda mrefu ujao.
Okay tufanye ni sawa walitutega na Bangala atachukua nafasi ya huyo kipa. Wao watuambie kwao atadaka nani..? Au watabaki na kipa mmoja..??😂Hayo mawazo ndio ya mwanasimba mwenzako SAYVILLE anakwambia kuwa uongozi wa Simba umefanya makusudi ili kuitega Yanga ili mwisho wa siku Simba impate Bangala
duu ana daka hadi mbu anayesababisha malaria?Ndio huyu Makolo walikua wanasema anadaka mpaka madeni? Kumbe mtu mwenyewe yuko na pancha?
Huyu kipa hajakidhi vigezo vya kucheza ligi kuu, hilo la majeraha ni namna tu ya kufunika funika.
Ukiweza kumuelewesha huyo jamaa upewe PhD ya heshimaAlafu nyie kwenu kipa atadaka nani...??
Muda mwingine mtumie tu hizo Akili Mungu amewapa, msiwe washabiki wajinga wajinga tu.
Unatakiwa upunguze ubishi. Kanuni za TFF haziongelei masuala ya comparison.Usiseme tu nje ya nchi ukaishia hapo.
Hata Malawi ni nje ya nchi.
Sasa rank ya Brazil kwenye ubora wa soka utaweza compare na nchi gani hapa Afrika?
Kama huwezi maana yake ili upate ratio unatakiwa ushuke level za chini za ligi zinazochezwa huko Brazil ili upate uwiano na ligi kuu yetu.
Ni sawa na mchezaji ambaye anweza kuachwa na Simba na Yanga, hauwezi ukamdharau kuwa kwakua timu hizo zimemuona hawezi kuzisaidia basi maana yake hawezi kufanya kitu chochote kwenye championship.
Aliwahi kuleta uzi humu eti Bocco awe kipa ndio nikagundua jinsi alivyo kiaziOkay tufanye ni sawa walitutega na Bangala atachukua nafasi ya huyo kipa. Wao watuambie kwao atadaka nani..? Au watabaki na kipa mmoja..??[emoji23]
Unajua kweli ujinga ni kipaji, hasahasa kwa wa-Tanzania.
Kanuni za TFF zinahusika vipi kwenye hili?Unatakiwa upunguze ubishi. Kanuni za TFF haziongelei masuala ya comparison.
Na unatakiwa pia kukubali viongozi wako pamoja na kocha, wamepuyanga kumleta mchezaji wa ligi daraja la 4 kinyume kabisa na kanuni za shirikisho la soka nchini.
Sijui huwa mnaona sifa kubishana kwenye vitu ambavyo viko wazi, maana vitu vingine ukibisha unaonekana mpumbavu tu. Ushabiki sio kubisha kila kitu.Usiseme tu nje ya nchi ukaishia hapo.