Viko wazi regarding source gani ambayo ni rasmi iliyoweka huo ufafanuzi mnaotaka sisi tukubaliane nao?Sijui huwa mnaona sifa kubishana kwenye vitu ambavyo viko wazi, maana vitu vingine ukibisha unaonekana mpumbavu tu. Ushabiki sio kubisha kila kitu.
Au kaseja.Wamtafute Peter Manyika faster
Kwani huyo dogo Hana timu??Wamtafute Peter Manyika faster
Endelea kujifariji mkuu ila hilo unalowaza halipo na haliwezekani.Dirisha la usajili halijafungwa tusiongee sana. Mkude aliachwa kiroho safi, hakuna mtu anamuwazia. Yanga haikumuacha Bangala bali imemuuza, halinganisha na kilichotokea kwa Mkude. Simba wangegonga hodi Yanga kumtaka Bangala, mngekuja na hesabu zenu zile za bilioni 4 kama wakati ule mnajimwambafai kuhusu Feisal.
Niliwapa onyo kwamba safari hii tutawakumbusha ujanja tuliuanza sisi.
Acha uongo wwKuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Kuna upigaji wa hela pale [emoji16]Kuna Mwaka Simba walikuwa na mawinga Tisa hapo ndipo Anguko lao likaja.
1. Morison.
2. Dilunga.
3.Bwalya.
4. CHIKWENDE.
5 AJIBU.
6. Dankan Nyoni.
7.Pape Sackho.
8. Peter Banda.
9. Jimyson mwinuke
LEO WANARUDIA MAKOSA YALE YALE YA 2020
1. Miquesson.
2. KIBU.
3 Chama.
4. Saido.
5. Mwinuke.
6. Aubin kramo.
7. Onana.
VIONGOZI WA MPIRA NI WABABAISHAJI MNO.
Subiri kuitwa shabiki wa Yanga na Saidoo wa JF. Anajua watu yule!! Hata ukitaka akutajie Mtoto wako wa mwisho Yuko darasa la ngapi atakwambia.Kuna Mwaka Simba walikuwa na mawinga Tisa hapo ndipo Anguko lao likaja.
1. Morison.
2. Dilunga.
3.Bwalya.
4. CHIKWENDE.
5 AJIBU.
6. Dankan Nyoni.
7.Pape Sackho.
8. Peter Banda.
9. Jimyson mwinuke
LEO WANARUDIA MAKOSA YALE YALE YA 2020
1. Miquesson.
2. KIBU.
3 Chama.
4. Saido.
5. Mwinuke.
6. Aubin kramo.
7. Onana.
VIONGOZI WA MPIRA NI WABABAISHAJI MNO.