Nani wa kulaumiwa katika usajili huu wa kipa Robertinho au head of scouting aliyeajiliwa na Simba sc kwa lengo la kuleta wachezaji Bora??

Nani wa kulaumiwa katika usajili huu wa kipa Robertinho au head of scouting aliyeajiliwa na Simba sc kwa lengo la kuleta wachezaji Bora??

Sijui huwa mnaona sifa kubishana kwenye vitu ambavyo viko wazi, maana vitu vingine ukibisha unaonekana mpumbavu tu. Ushabiki sio kubisha kila kitu.
Viko wazi regarding source gani ambayo ni rasmi iliyoweka huo ufafanuzi mnaotaka sisi tukubaliane nao?
 
Dirisha la usajili halijafungwa tusiongee sana. Mkude aliachwa kiroho safi, hakuna mtu anamuwazia. Yanga haikumuacha Bangala bali imemuuza, halinganisha na kilichotokea kwa Mkude. Simba wangegonga hodi Yanga kumtaka Bangala, mngekuja na hesabu zenu zile za bilioni 4 kama wakati ule mnajimwambafai kuhusu Feisal.

Niliwapa onyo kwamba safari hii tutawakumbusha ujanja tuliuanza sisi.
Endelea kujifariji mkuu ila hilo unalowaza halipo na haliwezekani.
 
Kuna mtu kuna mada ilikuja kuhusu Bangala nilimwambia uwezekano wa Bangala kuja Simba upo ila nikakataa kumwambia ni kwa njia gani maana uto wangeshtuka. Hii ndiyo njia niliyokuwa naiona, yule kipa aliletwa ili iwe geresha kwa Yanga kuachana na Bangala wakijua Simba imemaliza nafasi za kusajili. Nilijua wakimuachia tu, imekula kwao. Simba itachukua kipa wa hapa hapa Tanzania.
Acha uongo ww
 
Kuna Mwaka Simba walikuwa na mawinga Tisa hapo ndipo Anguko lao likaja.

1. Morison.
2. Dilunga.
3.Bwalya.
4. CHIKWENDE.
5 AJIBU.
6. Dankan Nyoni.
7.Pape Sackho.
8. Peter Banda.
9. Jimyson mwinuke


LEO WANARUDIA MAKOSA YALE YALE YA 2020

1. Miquesson.
2. KIBU.
3 Chama.
4. Saido.
5. Mwinuke.
6. Aubin kramo.
7. Onana.


VIONGOZI WA MPIRA NI WABABAISHAJI MNO.
 
Kuna Mwaka Simba walikuwa na mawinga Tisa hapo ndipo Anguko lao likaja.

1. Morison.
2. Dilunga.
3.Bwalya.
4. CHIKWENDE.
5 AJIBU.
6. Dankan Nyoni.
7.Pape Sackho.
8. Peter Banda.
9. Jimyson mwinuke


LEO WANARUDIA MAKOSA YALE YALE YA 2020

1. Miquesson.
2. KIBU.
3 Chama.
4. Saido.
5. Mwinuke.
6. Aubin kramo.
7. Onana.


VIONGOZI WA MPIRA NI WABABAISHAJI MNO.
Kuna upigaji wa hela pale [emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mwaka Simba walikuwa na mawinga Tisa hapo ndipo Anguko lao likaja.

1. Morison.
2. Dilunga.
3.Bwalya.
4. CHIKWENDE.
5 AJIBU.
6. Dankan Nyoni.
7.Pape Sackho.
8. Peter Banda.
9. Jimyson mwinuke


LEO WANARUDIA MAKOSA YALE YALE YA 2020

1. Miquesson.
2. KIBU.
3 Chama.
4. Saido.
5. Mwinuke.
6. Aubin kramo.
7. Onana.


VIONGOZI WA MPIRA NI WABABAISHAJI MNO.
Subiri kuitwa shabiki wa Yanga na Saidoo wa JF. Anajua watu yule!! Hata ukitaka akutajie Mtoto wako wa mwisho Yuko darasa la ngapi atakwambia.
 
Back
Top Bottom