Nani wa kumhoji nani? An open discussion to those who can critically think on behalf of others

Nani wa kumhoji nani? An open discussion to those who can critically think on behalf of others

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
If you can’t think critically, better stay away from this post aka thread.

Hivi karibuni taarifa za kifedha za mkuu mmoja nchini zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha kiasi cha zaidi ya bilioni 1 kikiwa kwenye akaunti yake. Hatua hii iliibua maswali mengi miongoni mwa wananchi.

Ila niwaulize tu ndugu wananchi

Nani wa kumhoji Nani?

Kwa nini asiwepo wa kuhoji?
 
Tume ya maadili ya viongozi wa umma ni kiini macho.
Akiongea akiwa nchini Tz raisi sama alisema ( kama ni fomu) za maadili . Fomu tunajaza. Tatizo ni uhalisia wa kilichojazwa. ( samia suluhu hasan)
 
Ni sawa na kuuliza nani wa kumfunga paka kengele
System imecorrupt wanakaya nao wamelala na kila anayejaribu kuwaamsha wana mdude!!
 
If you can’t think critically, better stay away from this post aka thread.

Hivi karibuni taarifa za kifedha za mkuu mmoja nchini zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha kiasi cha zaidi ya bilioni 1 kikiwa kwenye akaunti yake. Hatua hii iliibua maswali mengi miongoni mwa wananchi.

Ila niwaulize tu ndugu wananchi

Nani wa kumhoji Nani?

Kwa nini asiwepo wa kuhoji?
Ukweli ni kwamba kama taifa tumerogwa hatujitambui tutakuja kujishangaa baadae. Hao watu wanatimiza agizo la kula kwa urefu wa kamba. Kwa hiyo hakuna wa kuwahoji
 
Back
Top Bottom