Nani wa kumkamata Netanyahu na Putin?

Nani wa kumkamata Netanyahu na Putin?

We sema tu, lakini hujui maana ya mtu kuishi huku akiwa na order ya kukamatwa kwake mkononi. Hawa watu wamezoea kutembea nchi mbali mbali duniani kama wewe unavyokwenda mjini na kurudi nyumbani. Si kiofisi tu bali hata private...
Hapo kwenye tarafa🤣🤣
 
Kuhusu Netanyahu,kama USA na UK haitajihusisha anaweza kamatika.
Ila Putin one man army hakuna anayeweza kumgusa labda China na Turkiye ila nao ni washirika wa Russia.
Putin sidhani kama alishwahi kutoka nje ya russia baada ya arrest warrant yake kutoka
 
Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?

Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?

Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa dunia ni wanafiki.
USIUNGANISHE KAMANDA PUTIN NA TAKATAKA NETANYAU PLEASE......WAKUMKAMATA NETANYAU WAPO ILA WAKUMKAMATA PUTIN KAKUNA HATA USA.
 
Back
Top Bottom