Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais.

Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini, kufukuzwa kiholela, Kutopandishwa madaraja, walimu kulawiti wanafunzi.

Waziri wa TAMISEMI ndugu Mchengerwa hajaonekana hata kushtuka au kuchukua hatua yoyote!
Kuna kitu nahisi kinamfanya awe anaogopwa lakini kwa mfano walimu wanaojitolea ukiachilia mbali njaa, wengi ni wasichana wadogo wanaishia kubakwa kwa sababu mazingira yao ya kazi ni magumu, wanajitegemea Kwa Kila kitu na Bado wanataka waende wakajitolee bila mfumo rasmi unaowatambua na kulinda hadhi na haki zao?

Mchengerwa alitangaza ajira mpya za waalimu sasa tunaelekea kufunga shule haieleweki ni lini zitatoka na wizara ipo kimya. Hakuna tamko lililitolewa mpaka shule zinakwenda kufungwa mfumo mpya wa ajira umekuwa changamoto!?

Miaka yote ajira huwa zinatolewa mwezi wa nne, mwezi wa tano wanafanya application, mwezi wa Saba wakati shule zinafungua walimu wapya wawe kazini kuziba pengo la upungufu wa waalimu.

Wizara yake ipo kimya, mwisho na muhimu ni mfumo mpya anaotarajia kuutumia kuajiri ni mfumo ambao kwa walimu walioko vijijini ambalo huenda familia mzima hawana smartphone iwe tabu kidogo ni vijiji vingine mitandao ya simu inasumbua Sana.

Namshauri angetumia mfumo wa zamani wakati anauandaa mpya anaoutaka yeye. Mwisho kabisa Mchengerwa hatakiwi kuwepo ofisini ni aidha abadilishiwe Wizara au atumbuliwe kabisa ni jipu.
 
Tamisemi ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa rais ! Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini !kufukuzwa kiholela ! Kutopandishwa madaraja ,walimu kulawiti wanafunzi ..waziri wa tamisemi ndugu mchengerwa hajaonekana hata kushtuka au kuchukua hatua yoyote!
Mbona hizo ni tuhuma tu, ni kawaida sanaa.
 
Tamisemi ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa rais ! Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini !kufukuzwa kiholela ! Kutopandishwa madaraja ,walimu kulawiti wanafunzi ..waziri wa tamisemi ndugu mchengerwa hajaonekana hata kushtuka au kuchukua hatua yoyote! Kuna kitu nahisi kinamfanya awe anaogopwa lakini kwa mfano walimu wanaojitolea ukiachilia mbali njaa ,wengi ni wasichana wadogo ,wanaishia kubakwa kwa sababu mazingira yao ya kazi ni magumu ,wanajitegemea Kwa Kila kitu na Bado wanataka waende wakajitolee bila mfumo rasmi unaowatambua na kulinda hadhi na haki zao ? Mchengerwa alitangaza ajira mpya za waalimu sasa tunaelekea kufunga shule haieleweki ni lini zitatoka na wizara ipo kimya ! Hakuna tamko lililitolewa mpaka shule zinakwenda kufungwa mfumo mpya wa ajira umekuwa changamoto!? Miaka yote ajira huwa zinatolewa mwezi wa nne ,mwezi wa tano wanafanya application ,mwezi wa Saba wakati shule zinafungua waalimu wapya wawe kazini kuziba pengo la upungufu wa waalimu ,...wizara yake ipo kimya ...mwisho na muhimu ni mfumo mpya anaotarajia kuutumia kuajiri ni mfumo ambao kwa walimu walioko vijijini ambalo huenda familia mzima hawana smartphone iwe tabu kidogo ni vijiji vingine mitandao ya simu inasumbua Sanq ! Namshauri angetumia mfumo wa zamani wakati anauandaa mpya anaoutaka yeye! Mwisho kabisa mchengerwa hatakiwi kuwepo ofisini ni Aidha abadilishiwe wizara au atumbuliwe kabisa ni jipu !
Mwandiko mbaya sana
 
Kuna halmashauri wastaafu wanaambiwa wao ndiyo watoe michango ambayo mwajiri hakupeleka PSSSF ili walipwe "mapunjo" ya mafao yao.

Sijajua kama Waziri anajua hili.
 
Back
Top Bottom