st Activity:mimi hapa mkuu ila mwaka juzi nimenyimwa tunzo pls usiniulize why
so?st Activity:
Today at 12:32 PM
Joined:
Jul 23, 2013
Messages:
505
Likes Received:
77
Trophy Points:
45
Liked:
5
jf ipo kitambo zaidi ya hapa .......................
mi mwenyewe wa kitambo zaidi yako..............\
jamii forum ilikuwa inaitwa jambo forum
hao wenyewe kuna watu waliwakuta nikiwemo namie kipindi hicho kuna darhot chat
Mbona naona Kama tumejiunga mwaka mmoja 2012 umenizidi miezi tu.hao wenyewe kuna watu waliwakuta nikiwemo namie kipindi hicho kuna darhot chat
mkuu huu mchezo hauitaji hasira kama unataka updateMbona naona Kama tumejiunga mwaka mmoja 2012 umenizidi miezi tu.
NONE OF YOUR CONCERN.......................... AND MIND YOUR OWN BUSINESS
NONE OF YOUR CONCERN.......................... AND MIND YOUR OWN BUSINESS
Hahahahhh. Hapana mkuu, mie nimejiunga mwezi Machi 2007, baada ya kusoma makala flani ya Mwanakijiji kwenye Fikra pevu, ndipo nikavutiwa. Those days nilikua nje ya nchi, kwa hiyo JF na Issa Michuzi blog ndio zilikua gateways za taarifa zote za nyumbani, kabla hawa kina Millard Ayo na wenzao hawajawa na hivi viji-blogs na tovuti. Watu wa mwanzo mwanzo kujiunga na JF ni akina Le Mbebez (Willy Malecela), Fikra Duni, Mwawado, Kasheshe, Nyani Ngabu, Ole na wengine. Enzi hizo iliitwa Jambo Forums, kabla haijabadilishwa jina mnamo 2008 na kiutwa Jamii forums. Kumbukumbu nzuri sana hizi
shida yako naijua ntakusaidia wala usijariAFADHALI WAMEFUTA ULICHOANDIKA THANX MODS SIJAONA
shida yako naijua ntakusaidia wala usijari