Nani walikuwa watu wa kwanza kwanza kujiunga JF?

Nani walikuwa watu wa kwanza kwanza kujiunga JF?

mimi hapa mkuu ila mwaka juzi nimenyimwa tunzo pls usiniulize why
st Activity:
Today at 12:32 PM
Joined:
Jul 23, 2013
Messages:
505
Likes Received:
77
Trophy Points:
45
Liked:
5



jf ipo kitambo zaidi ya hapa .......................

mi mwenyewe wa kitambo zaidi yako..............\


jamii forum ilikuwa inaitwa jambo forum
 
st Activity:
Today at 12:32 PM
Joined:
Jul 23, 2013
Messages:
505
Likes Received:
77
Trophy Points:
45
Liked:
5



jf ipo kitambo zaidi ya hapa .......................

mi mwenyewe wa kitambo zaidi yako..............\


jamii forum ilikuwa inaitwa jambo forum
so?
 
Nahisi wanawe kuwa
Idimi
Game Theory
Nyani Ngabu
Ila sina uhakika kabisa.
Hahahahhh. Hapana mkuu, mie nimejiunga mwezi Machi 2007, baada ya kusoma makala flani ya Mwanakijiji kwenye Fikra pevu, ndipo nikavutiwa. Those days nilikua nje ya nchi, kwa hiyo JF na Issa Michuzi blog ndio zilikua gateways za taarifa zote za nyumbani, kabla hawa kina Millard Ayo na wenzao hawajawa na hivi viji-blogs na tovuti. Watu wa mwanzo mwanzo kujiunga na JF ni akina Le Mbebez (Willy Malecela), Fikra Duni, Mwawado, Kasheshe, Nyani Ngabu, Ole na wengine. Enzi hizo iliitwa Jambo Forums, kabla haijabadilishwa jina mnamo 2008 na kiutwa Jamii forums. Kumbukumbu nzuri sana hizi
 
shida yako naijua ntakusaidia wala usijari
IMG-20160110-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom