usijari mbona utaipenda tu kwa moyo
hii kauli mara zote inaongelewa.na watueleze kwanini JF ya sasa sio sawa na Zamani wakati wanaanza???
aaaaaha ha ha ha..mgabe bana.!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji13]aaaaaha ha ha ha..mgabe bana.!!
Salaam zangu kwako eeeee.......hii kauli mara zote inaongelewa.
kijana mbona umeadimika sana? hebu niwhatsapp tuyajenge. eid mubarakSalaam zangu kwako eeeee.......
Dah.. Toka lini kapuku akawa GT?? [emoji15]na watueleze kwanini JF ya sasa sio sawa na Zamani wakati wanaanza???
Dah.. Toka lini kapuku akawa GT?? [emoji15]
...dah.,umenikumbusha kitambo chief!IFM moko,tukimaliza pindi tunajifungia computer lab net free hadi night!..hapo hakuna cha Jambo Forum..bado sanahao wenyewe kuna watu waliwakuta nikiwemo namie kipindi hicho kuna darhot chat
kuna mtandao ulikuwa unaitwa WAYN.COM huu ulikuwa nouma miaka ya 2000 mpaka leo...dah.,umenikumbusha kitambo chief!IFM moko,tukimaliza pindi tunajifungia computer lab net free hadi night!..hapo hakuna cha Jambo Forum..bado sana
..dah,huo siusanukii..nlikuwa napitia uzi wa flashback ya miaka 10 ya JF,dah wakongwe bado wapo ila wameamua ku-keep low profiles;kwa sababu mbalimbali!kuna mtandao ulikuwa unaitwa WAYN.COM huu ulikuwa nouma miaka ya 2000 mpaka leo
Rejao yupo mwingi tu, ila ana keep low profilehivi bado anasavaiv!??
hahaha atakuwa mkuu wa wilaya somewhere hivi na yeye si alikuwa anasaga lami pale lumumba? i miss him despite his lumumbaism.............. one o f my jf friends indeedRejao yupo mwingi tu, ila ana keep low profile
Yap, ni mmoja wao akina Ritz, Barbarosa nk. I hope atakuwa mkuu wa wilaya somewherehahaha atakuwa mkuu wa wilaya somewhere hivi na yeye si alikuwa anasaga lami pale lumumba? i miss him despite his lumumbaism.............. one o f my jf friends indeed
tehetehe .............Yap, ni mmoja wao akina Ritz, Barbarosa nk. I hope atakuwa mkuu wa wilaya somewhere