Nani walikuwa watu wa kwanza kwanza kujiunga JF?

Nani walikuwa watu wa kwanza kwanza kujiunga JF?

hao wenyewe kuna watu waliwakuta nikiwemo namie kipindi hicho kuna darhot chat
...dah.,umenikumbusha kitambo chief!IFM moko,tukimaliza pindi tunajifungia computer lab net free hadi night!..hapo hakuna cha Jambo Forum..bado sana
 
kuna mtandao ulikuwa unaitwa WAYN.COM huu ulikuwa nouma miaka ya 2000 mpaka leo
..dah,huo siusanukii..nlikuwa napitia uzi wa flashback ya miaka 10 ya JF,dah wakongwe bado wapo ila wameamua ku-keep low profiles;kwa sababu mbalimbali!
 
Rejao yupo mwingi tu, ila ana keep low profile
hahaha atakuwa mkuu wa wilaya somewhere hivi na yeye si alikuwa anasaga lami pale lumumba? i miss him despite his lumumbaism.............. one o f my jf friends indeed
 
hahaha atakuwa mkuu wa wilaya somewhere hivi na yeye si alikuwa anasaga lami pale lumumba? i miss him despite his lumumbaism.............. one o f my jf friends indeed
Yap, ni mmoja wao akina Ritz, Barbarosa nk. I hope atakuwa mkuu wa wilaya somewhere
 
Back
Top Bottom