Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Namba moja michepuko-hao ni balaa!
Namba mbili mama chanja(mamsap)
Namba tatu ndugu na jamaa!
Namba nne, kanisani/msikitini!
Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k.
Namba sita chama.......!
Mwana JF weka nawe wa kwako!
Namba mbili mama chanja(mamsap)
Namba tatu ndugu na jamaa!
Namba nne, kanisani/msikitini!
Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k.
Namba sita chama.......!
Mwana JF weka nawe wa kwako!