Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Team popo....
Wenye nyota ya mbwa...kazi yao ulinzi...
Kumbe tupo wengi.
 
Jamani! Kumbe Nyie Hamjui Maumivuuu!! Ukipatwa Ndo Utajua Tafsida! Mgonjwa Mweleze Wazi, Asije Akasema Uliposema Vile Mm Sikuelewa! Nyie Ni Director Nn, Wenzu Ss Manesi.
 
Afu wewe pia siyo mtoto wa familia ya watu8 na mkewe measkron?

CC: charminglady
Mshaanza... Mbona ninyi hatuwafatilii....

Mara Arusha one, mara arusha1 muiwache familia ya watu8 ipumuwe miaka 8000!!!!!!!!!!!
tobaaaa.....mwingine tena!!!


Consult your wife please! BTW do you know VASECTOMY? Try it.

Hehehe!!!! yaani mke wangu anafyatua mapacha tu....hakatwi mtu mirija hapa

Hivi watu8 kumbe jina lako ni reflection ya avatar yako!! Leo nimegundua

Hahaha...avatar na jina vinashahabiana kaka




Shem charminglady acha kumkana mdogo wako!!
 
Back
Top Bottom