Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Nyani Ngabu unaitwa huku
sio vizuri hivyo....
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani Ngabu unaitwa huku
umelikosea heshima jina langu!
aaa..! si kweli, mbona leo wengine kabisa? akina ngongoseke, Jawilat au we huwaoni?
ewaaa swadakta!
Tatizo nini?
tumbo linauma acheni tu sielewi ata nifanye nini ati!
tumbo linauma acheni tu sielewi ata nifanye nini ati!
Sasa Ni Usiku Huu Maduka Yamefungwa Km Yapo Wazi Sema Tukwambie Dawa
Jaribu Hata Maji Ya Moto
Eh, umeenda toilet kupunguza makapi? If not, try this easy and kwik remedy
hataa simuwazi mtu ila nilikula visivyolika tumbo limevurugika usingizi hakuna..nisaidie tiba bas mpenzi..
wacha masihara limejaa ges jinsi ya kuitoa ndio nashindwa
Niko imara kama simba! Halali mtu hapa farkhina
Ahhahahahaha nipo na bakora yangu hapa anaesinzia namchapa...🙂🙂🙂🙂🙂
kwa herini jaman hali yangu ni mbaya tuombeani salama..
wacha masihara limejaa ges jinsi ya kuitoa ndio nashindwa