kashaamka tayari Jerrymsigwa ok ni vizuri sasa hivi tupo watatu.
Mi sijaamka niko eyes toka kitambo ni farkhina kaniita huku
Hujambo? Nlifikiri na leo una mgeni utatuaga😛😛😛
Mbona nawe jana uliingia mitini? Hujambo lakini?
Leo mmeenda club au disco?@farkhina Jerrymsigwa Ngongoseke,@rugwebe????
Nakwambi jana nlienda kuzurura weee...sijambo vipi wewe
Dah Mzee siunajua huku kwetu rufiji hizi week end tunakesha na viduku tu,basi leo nilisahau hata jf kuna mwali alikuwa anatolewa hapa
Nakwambi jana nlienda kuzurura weee...sijambo vipi wewe
Dah Mzee siunajua huku kwetu rufiji hizi week end tunakesha na viduku tu,basi leo nilisahau hata jf kuna mwali alikuwa anatolewa hapa
Jana nilibaki peke yangu hapa kama bundi Jerrymsigwa na Rugebwe78 walipotea hapa
Jana nilibaki peke yangu hapa kama bundi Jerrymsigwa na Rugebwe78 walipotea hapa
Ma vigodoro hufanyika wapi?
Jamani hivi kumbe wengine hampo Africa kwenu ni mchana eh? farkhina mmmmhh
Jamani hivi kumbe wengine hampo Africa kwenu ni mchana eh? farkhina mmmmhh
Nahisi ndio anapiga mswaki huyo sasa,dah usijali kaka ipo siku na sisi tutapanda pipa tu,maana kwa nyerere hapasomeki kabisa
Ha ha haaa we uko Tz?