bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
farkhina uko inbox na huyu mkuu mpya alietoa namba?
Mpaka sasa nimeshashusha ngoma moja mpaka zote ntashusha lazima tufungue band farkhina
Maisha magumu aisee we usiseme hivyi hao jamaa wa mitandao wanapata sana faida. Kampun za ulinz zalipwa $200-300 kwa mlinzi 1 kwa mwez. Lakini cash kwa mlinzi huwa ni less than $80/pm
Kwa kweli maisha ni magumu jamani hawa wadogo zetu wengine tunawaambia wasome wao wanaleta bongofleva na akina dada kupenda wanaume. Samtimz bana tunaacha mambo yaende tu but maisha magumu sana sio mchezo kuwa mlinzi inahitaji moyo
Usitake niende kumkaba boss wangu usiku huu@Jerrymsigwa
bily mimi hapa Bush ndo star.na simu zote nachaji mimi kwa generator la voda
Ungekua wawatoza japo mia 2 mia 2 basi😉😉😉😉
bily mimi hapa Bush ndo star.na simu zote nachaji mimi kwa generator la voda
bily hao waliosoma sindio wametuletea maisha haya? Wanasifika kwa majina,Prof,Dr,engineer,utendaji zero kabisa.Mkuu umenena kuwa mlinzi kuna hitaji moyo tena aswaa kwa mshahara huo, madogo hawapendi shule katika karne hii wamejawa majivuno tu jamani wadogo zetu someni maisha magumu huku uraiani...!
ok mkuu hapo umenena vipi mafuta ya jenereta unaweka au unawekewa na je kama unanunua kuna risiti unaambatanisha kwa bosi ? Km hamna basi katana nae juu kwa juu kwenye mafuta hapo hapo life is performance mkuu Ngongoseke.
Ahhahahahaha subutuuuu wataka nipigwe risasi mwenzio....
Alafu simu yenyewe salio 0 lol...
Usitake niende kumkaba boss wangu usiku huu@Jerrymsigwa
Hizo mia 2 ndio sana zinanipa ujiko hapa nawatoza sana tu,
Jamaa ataka kwenda inbox, beep utatumiwa salio kwani tatizo liko wapi bwana😝😝😝😝
usimkabe ebu iba kijanja mkuu.
Umeona eeeh....mjini kufa na njaa kutaka tu..
Nchi nzima wezi ntaiba tu