Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

mkuu hatari mi siwezi

Maisha magumu aisee we usiseme hivyi hao jamaa wa mitandao wanapata sana faida. Kampun za ulinz zalipwa $200-300 kwa mlinzi 1 kwa mwez. Lakini cash kwa mlinzi huwa ni less than $80/pm
 
farkhina
Hakuna kitu, kama ni tumbo yetu yote yako sawa ukubwa, nani hataki kuish vzr bwana?ndio mana watu wanazamia kwenda ulaya
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu Jerrymsigwa sijui kwanini binadamu tunageukana na kufanyiana matendo ya kikatili kama hivi.

Maisha magumu aisee we usiseme hivyi hao jamaa wa mitandao wanapata sana faida. Kampun za ulinz zalipwa $200-300 kwa mlinzi 1 kwa mwez. Lakini cash kwa mlinzi huwa ni less than $80/pm
 
Last edited by a moderator:
haya poa ila sidhani kwa life hii ya value added tax vat mmh farkhina

Kwa kweli maisha ni magumu jamani hawa wadogo zetu wengine tunawaambia wasome wao wanaleta bongofleva na akina dada kupenda wanaume. Samtimz bana tunaacha mambo yaende tu but maisha magumu sana sio mchezo kuwa mlinzi inahitaji moyo
 
Last edited by a moderator:
Eh nawe umetoka wapi tena? Sie tunamalizana hapa hapa whaaa whaaa whaaa haya jamani namba hizoo sa we ni mme ama ke?

mkuu naona umemalizia na swali kwa haraka tu huyo atakuwa jinsia yetu yaani me mara nying ke ku-publicise namba zao ni suala lingne
 
Back
Top Bottom