- Thread starter
- #21
macho ya wapi? Msasani ama?
hii ni tungo tata bana, yaonyesha unapenda sana maeneo hayo ee!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
macho ya wapi? Msasani ama?
Sasa kama wewe huna stori,tuzipigeje sasa?si bora nipige na mywife wangu
Huendi job au shule kesho? Njoo uku upande huu wa dunia saiv tumeamka mda wa chai
upande upi huo jerry? nielekeze nije.
Mimi umekubali sasa.
Mkuu salimia huko ndotoni, usikabwe te te teee
Mkuu salimia huko ndotoni, usikabwe te te teee
nionavyo mimi bwana jerry, sababu ya kufoj kila kitu ni baadhi ya watu kupenda kuchunguza hata yasiyo na maana na pengine ni kwa nia mbaya.
Anzisha wewe basi!!mmmh mtoa mada anatuchezea tu huyu! mbona story yenyewe haiji?
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................
So hatujiamini?