Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Sasa kama wewe huna stori,tuzipigeje sasa?si bora nipige na mywife wangu
 
jamani! imekuwa kesi! wala ucjal, we piga tu stori na wife wako, huku si muhimu sana, wife kwanza.
 
Huendi job au shule kesho? Njoo uku upande huu wa dunia saiv tumeamka mda wa chai
 
Naanzisha story:
Watu wengi wanapenda kufoji, foji fojiii sana,foji wife/husband, vyeti, maisha, majina jf, kufoji location pale kwenye tab ya details za Jf.
Kufoji foji tu ni kwa nn huu ugonjwa tunao watz?
 
he! huko mbali bana, me nilifikiri kwa kutembea tu!
 
nionavyo mimi bwana jerry, sababu ya kufoj kila kitu ni baadhi ya watu kupenda kuchunguza hata yasiyo na maana na pengine ni kwa nia mbaya.
 
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................
 
Duh aisee, hao nao wanaleta mambo ya kudalesalam hadi manyara? So mda huu uko na mmoja ama
 
Back
Top Bottom