Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Ni zamu yangu lindoni [HASHTAG]#farkhina[/HASHTAG]Leo wamelala mapemaaa
SalaamHeri ya mwaka mpya wadau mtaa huu
Team popooooo
Farkhina beautiful name yaan kila sku huwa nalipenda.Amkeni haraka
Farkhina beautiful name yaan kila sku huwa nalipenda.
Laki wewe mwenzetu saa tano ndio unakuwa popoz!! hahaha
Njoo baadaye kdogo
HahahaaaHahahahah me kila siku ndio nakua wa mwisho kulala nakuja apa nyote mshalala fofo atakae lala leo atakosa mahanjumati shauri yake
problem reekado banks on air......
Hahahaaa
Mimi huwa nakuchek tuu
Huwa unakuja kuzindua then mpaka kesho
Ku na sku uliamsho popo saa 4 usiku, ilibid nianze kucheka tu