T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Vipi kwema lakini mkuukama ni ndani kwangu,nipo mwenyew mkuu.ila jukwaani tupo na kina 24hrs...na wengne wengiii
Inshaallah,uzima upo....yote kheri,huko mnakolala vp kwemaa?Poa Alhamdulillah vipi Na wewe
we umenichoka sasa si janga la vijana kwa sasa huoni wakina dr mwaka wanavopiga pay kwa uzembe wa vijana wa kuendekeza realistic sexHahaha!! Piga Nyeto mkuu
kabisa mkuu,vp uko makwenuu?Vipi kwema lakini mkuu
Wow!! Umeitika kiutamu utamu kweli farkhinaLabeika
funga mkanda mkuu,tafadhaliiiiiiiiBado tupo macho mida ya wanga
sister upo farkhina nilijua upo mmu... iceman sijuh leo kawah kulala kesho afanye yakeOkay hujambo?
Inshaallah,uzima upo....yote kheri,huko mnakolala vp kwemaa?
Huku kwetu si kwema sana mkuu maana jua linawaka sana mpaka mazao yameanza kukauka kwa ukosefu wa mvua.kabisa mkuu,vp uko makwenuu?
inapendezaaa sana ase....Kwema kabisa
sister upo farkhina nilijua upo mmu... iceman sijuh leo kawah kulala kesho afanye yake
wapiii uko mkuu?Huku kwetu si kwema sana mkuu maana jua linawaka sana mpaka mazao yameanza kukauka kwa ukosefu wa mvua.
Hahahaha huna namna mkuuwe umenichoka sasa si janga la vijana kwa sasa huoni wakina dr mwaka wanavopiga pay kwa uzembe wa vijana wa kuendekeza realistic sex
yupo anakuja sijuh shabiki wa yangaπππππNipo mbona yule cha uroho nae anasubiri time za kula tu aje
Wow!! Umeitika kiutamu utamu kweli farkhina
ahaaa noma sana id nyingine humu zina nikumbusha old skul wahun wakiingia bafu na picha za naked woman ahhaaaaHahahaha huna namna mkuu
Huku paitwa BARIADI-SIMIYUwapiii uko mkuu?
Mmmmh!! KumradhiSio kiutamu ni kiheshima tafadhali rekebisha kauli yako nakustahi
aseeee.....so mkuu kwa hali hyo tutegemee nin sisi tuliopo huku ambako miez yote jua na tunaimport tuu misosi toka uko kwenu ase?Huku paitwa BARIADI-SIMIYU