Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

wa mikoani vs dar city leo mpaka kieleweke
Hahahaha!! Umeona Eeeeee

Ila mida nitaenda kuchunwa buzi sehemu fulani hivi amazing maana hapa navuta time tu ili eneo husika walale nijongee pale nifanye yangu.
 
wa mikoan trp za dar tutazimiss msimu wa jamaa wa lumumba ahaa
 
du aseeee,ngoja nirudi kwetu mbeya...sijui nako hali ikoje ase
wamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar city
 
wamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar city
doh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo mana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga jana wamenilaza mapeema
doh pole mkuu,dah kweli ase hata mi jana sikuwa na mzuka yanga hawajanitendea haki mi shabiki na mpenzi wao.ngoja tukalipize kwa simba kesh kutwaa ase
 
doh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo mana
wapo wachache sana kod tatizo no business
 
Back
Top Bottom