24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,630
- 5,958
wa mikoani vs dar city leo mpaka kielewekeHuku paitwa BARIADI-SIMIYU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa mikoani vs dar city leo mpaka kielewekeHuku paitwa BARIADI-SIMIYU
Mtalaka Njaa tu mkuuaseeee.....so mkuu kwa hali hyo tutegemee nin sisi tuliopo huku ambako miez yote jua na tunaimport tuu misosi toka uko kwenu ase?
Hahahaha!! Umeona Eeeeeewa mikoani vs dar city leo mpaka kieleweke
du aseeee,ngoja nirudi kwetu mbeya...sijui nako hali ikoje aseMtalaka Njaa tu mkuu
mpambano mkuu,tunataka kufatilia nin kinaendlea mikoani kwetuu ase...wa mikoani vs dar city leo mpaka kieleweke
ahaa jua lina waka mifukon 😳😳😳mpambano mkuu,tunataka kufatilia nin kinaendlea mikoani kwetuu ase...
dah...tunaingia nalo hadi ndani...mkuu,hatar aseahaa jua lina waka mifukon 😳😳😳
Ooooiiiiiwa mikoan trp za dar tutazimiss msimu wa jamaa wa lumumba ahaa
hahaha....kumbe ilikuwa ivoooo.ase karbun mjeni tuu wenyewwa mikoan trp za dar tutazimiss msimu wa jamaa wa lumumba ahaa
wamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar citydu aseeee,ngoja nirudi kwetu mbeya...sijui nako hali ikoje ase
Sijambo za hapa
kidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaa😀😀😀Ooooiiiii
Nambie ndugu
kwema kabisa sister kaja na kusepa yupo zake mmu anazulula ukokidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaa😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaa😀😀😀
doh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo manawamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar city
liver kasepa na kijj dohhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga jana wamenilaza mapeema
doh pole mkuu,dah kweli ase hata mi jana sikuwa na mzuka yanga hawajanitendea haki mi shabiki na mpenzi wao.ngoja tukalipize kwa simba kesh kutwaa ase[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga jana wamenilaza mapeema
wapo wachache sana kod tatizo no businessdoh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo mana