Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
aseeee na saiv kuna shida kule tazara wanakojenga flyover dah kule litakuwa ni balaa jingne jipya aseee.ishaanza kusumbua jam nowPole mkuu dah nakumbuka mwaka 2008 hiyo Mandela Road ilikua kwenye rehabilitation jam ilikua hatari wacha kabisa. Nina muda kidogo sijatia maguu motherland nahisi Kama jam imepungua.