Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
kweli ase.tujipange nch ya viwanda
gd9....
Hahahahm shabik wa chelsea hapa niz chezeshe karata vizur tu ila tot hatobaki salaama kwa city
Sijambo mkuuOkay hujambo?
konte hatoniangusha....Hahahah
Wewe ilibidi umpige tot ila point 5 siyo dhamana kaka
Bado una Arsenal na liva
Though uko form kwel kweli
diego naye mashetani yamepandakonte hatoniangusha....
Vi-wondertujipange nch ya viwanda
EPL winner 2016-2017 ni THE BLUES CHELSEA kaandike kwenye diarydiego naye mashetani yamepanda
ahaaa sido na wadogo zakeVi-wonder
Ndoto njema, mwalimu naandaa somo
Msilegeze tuEPL winner 2016-2017 ni THE BLUES CHELSEA kaandike kwenye diary
Jamaa ila kajitahidi kuwarudisha kwa formkonte hatoniangusha....
Good nyt kaka
sitosahau hiki kipigo chelsea home team 1 -southamton away team 3Jamaa ila kajitahidi kuwarudisha kwa form
Aaaah bado asee ligi mbichiEPL winner 2016-2017 ni THE BLUES CHELSEA kaandike kwenye diary
Ya lini hiyo [emoji23]sitosahau hiki kipigo chelsea home team 1 -southamton away team 3