Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

m shabik wa chelsea hapa niz chezeshe karata vizur tu ila tot hatobaki salaama kwa city
Hahahah
Wewe ilibidi umpige tot ila point 5 siyo dhamana kaka
Bado una Arsenal na liva
Though uko form kwel kweli
 
jamani ngoja n log out kesho nayo siku ... mwenyez mungu hatuepueshe na mabaya yot na iwe na baraka kwako pia .......
 
Back
Top Bottom